Alhamisi, 20 Juni 2013

ANANIA MWASOMOLA AKIHUDUMA KATIKA KANISA LA NABII FLORA

Siku ya Jumapili ilikuwa ni siku ya pekee sana, Mungu aliweza kuonekana kwa watu wake kwa kupitia mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, Anania Mwasomola. Watu walionekana kuguswa sana na ujumbe ambao Mungu aliutuma kwa watu wake kwa kupitia mtumishi wa Mungu Anania Mwasomola.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni