Jumanne, 31 Desemba 2013

TASWIRA ZA HAFLA YA KUKABIDHI RASIMU YA PILI YA KATIBA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Joseph S. Warioba mara baaada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Hall kupokea Rasimu ya Pili ya Katiba. Kulia ni Mhe. Assaa Rashid, Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, 
 Rais Kikwete akisalimiana na Mhe Assaa Rashid, Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, 
 Rais Kikwete akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu huku Jaji Mkuu wa Tanzania Bara Mhe Mohamed Chande Othman, Spika wa Bunge la Muungano Mhe Anne Makinda na Spika wa Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho wakisubiri zamu zao
 Rais Kikwete akimuamkia  na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi
 Rais Kikwete akimuamkia Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Cleopa David Msuya
 Meza kuu
 Sehemu ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
 Jukwaa kuu la pili
 Sehemu ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
 Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiwa na wajumbe wenzie wa Tume na maofisa wa serikali
 Dkt Asha Rose Migiro, Mama Amne Salim na Mama Warioba
 Sehemu ya wananchi walioshuhudia tukio hilo la kihistoria
 Wananchi wakiwa katika hafla hiyo
 Wananchi wakifuatilia hafla hiyo
 Watangazaji wa TBC wakiwa kazini kurusha live tukio hilo
 Baadhi ya wazee mashuhuri katika hafla hiyo. 
 Wadau mbalimbali
 Wadau katika hafla hiyo
 Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa
 Wadau wa habari 
 Wanasheria nguli, Mzee Mark Bomani na Profesa Issa Shivji wakiwa miongoni mwa wadau
 Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe Alfani Mpango akijumuika na wadau
 Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na mabalozi
 Wadau na maafisa wa serikali
 Maafisa wa ofisi wa Msajili wa vyama na wadau
 Wadau wakifuatilia kwa makini kinachoendelea
 Wadau na maafisa mbalimbali
 Makatibu wakuu
 Waheshimiwa Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Tanzania bara
 Waheshimiwa Mawaziri wa Tanzania Bara na Zanzibar
 Mawaziri, wabunge na maafisa wa serikali
 Sehemu ya mawaziri wa Tanzania bara na wa Zanzibar
 Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi (wa tatu toka kushoto) akiwa ameketi na wabunge na viongozi wa vyama mbalimbali 
 Sehemu ya waliohudhuria hafla hiyo
 Meza kuu ikimsikilia Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mhe. Joseph S. Warioba 
 Rais Kikwete akimkabidhi Sir George Kahama nakala ya Rasimu ya Pili ya Katiba
 Rais Kikwete akiwakabidhi Mzee Hassan Nassoro Moyo na Jenerali Sarakikya nakala ya Rasimu ya Pili ya Katiba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akisoma hotuba yake
 Rais Kikwete akihutubia
 Wabunge na wadau wengine wakifurahia hotuba ya Rais Kikwete
 Rais Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwapongeza wajumbe wa Tume kwa kazi nzuri
 Picha ya pamoja ya viongozi wakuu na wajumbe wa Tume
 Picha ya pamoja ya viongozi wakuu, wajumbe wa tume 
 Viongozi wakuu, viongozi wa vyama vya siasa na wajumbe wa Tume
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na Mhe Tundu Lissu
 Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba 
 Rais Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi na Mbunge wa Kuteuliwa Mhe James Mbatia
Nikiripoti kutoka hapa katika viwanja vya Karimjee ni mimi....nanihii  wa Mlimani TV

Maoni 1 :

  1. Asubuhi njema ndugu na dada zangu wapenzi
    Jina langu ni dada Angela kutoka Uswisi mwisho
    mwezi nilitaka kutembelea SCOAN
    Lagos Nigeria kupata maji mapema ya asubuhi
    msaada mama yangu mgonjwa lakini sikutumwa mwaliko
    baada ya mara nyingi ya kujaribu ... nilikuwa na kusikitisha hadi i
    alitafuta marafiki kutoka Lagos kwenye Facebook
    ambapo niliwasiliana na dada mmoja kutoka
    dada dada Helen ambaye hatimaye alinituma mpya
    maji ya asubuhi kupitia DHL na niliitumia kwa ajili yangu
    mama na yeye akawa vizuri mimi sasa tunajua kwamba TB
    Yoshua ni Mtu wa kweli wa Mungu kuokoa hili
    kizazi kwa njia ya Yesu Kristo Mungu baraka mshahara
    Mungu aibariki T B Yoshua Mungu aibariki Nigeria. .
    ikiwa unahitaji mwaliko wa haraka kutoka kwa uhuru, au
    huna pesa ya kutembelea shule
    wewe mwenyewe, naweza kukuunganisha na dada aliyeaminika
    kutoka Lagos Nigeria ambaye atakusaidia kwa nini
    milele unayohitaji. Tuma barua pepe
    mrsmarianmandela@gmail.com

    JibuFuta