Alhamisi, 20 Juni 2013

MUNGU KANIPENDELEA SANA KWA KUNIPONYA NA AJARI MBAYA.

Wakati nikiwa mkoa wa mbeya kwa ajirin ya kazi yangu ya kushuti vidio yangu, nlipata ajari mbaya sana, lakin Mungu hamtupi mjawake aliniponya sana jina la bwana wangu libarikiwe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni