Mtafiti
wa Mbegu,Geremiah Mrimi (wa pili kushoto) akimuonesha Meneja wa Kiwanda
cha Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Moshi, Vitus Mhusi mbegu
aina ya Shayiri zilizokubaliwa na Wizara ya Kilimo, wakati wa
maadhimisho ya Siku ya Wakulima wa Shayiri, wilayani Karatu, Arusha
mwishoni mwa wiki. Wakulima wa zao hilo wana mkataba wa kuiuzia Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), shayiri kwa ajili ya kutengenezea bia.
Mtaalamu
wa Kilimo cha Shayiri, Joel Msechu (kulia) akitoa maelezo juu ya mbegu
za Shayiri kwa Meneja wa Kiwanda cha Kimea cha Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) Moshi, Vitus Mhusi (katikati) na Mhasibu wa Mashamba, Optaty
Minja.Wakulima wa zao hilo wana mkataba wa kuiuzia TBL, shayiri kwa
ajili ya kutengenezea bia.

Anatoly Lohay, mkulima wa Rhotia kati Karatu.Editha Temu, Afisa Ughani kiwanda cha TBL akielezea umuhimu wa zao hilo.
You might also like:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni