Jumatano, 3 Julai 2013

HUKUMU YATOLEWA KWA MCHUNGAJI MWASUMBI JIJINI MBEYA

Kesi iliyokuwa ikimkabili mchungaji Mwasumbi imemarizika jana ,baada ya Jaj mkuu wa mkoa wa Mbeya kutoa hukumu ya miaka 30 na viboko 12 ,kesi hiyo ilidumu takribani miaka kadhaa, baada ya washitaki kudai kwamba mch,Mwasumbi alim baka binti mwenye umr wa miaka 15 nakumsababushia ujauzito kwakweli inatisha sana


Hapa mch,Mwasumbi akiwa anaelekea mahakamani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni