Jumanne, 6 Agosti 2013

DR MERY MWANJELWA AWA MSAADA MKUBWA KWA VIJANA MKOANI MBEYA

Mbunge wa viti maalumu mkoani mbeya Mery Mwanjelwa,amekua msaada mkubwa kwa vijana wa mkoa huo kutokana na kujitolea kataka harakati za vijana, kataka kutafuta maisha yao vikundi mbalimbali vya mkoa wa mbeya pamoja na timu za mpila zime kuwa na ushirika mzuri na Dr Mery Mwajelwa, pia hata akina mama wame kuwa na mahusiano mazuri sana na kiongozi wao huyo, vijana wa mkoa wa mbeya wamesema kwasasa wamegundua ya kwamba kiongozi bora ni yule anaye kubari kuwasikiliza wananchi na ametenga mda wakukutana nao, kwa sasa sisi vijana wa mkoa wa mbeya hatuigi tena kushangilia chama bali tunataka kiongozi mzuri kama Dr Mery Mwanjelwa,.Ongeza kichwa


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni