Rais Kikwete ahutubia Umoja wa Mataifa New York, akutana na Ban Ki Moon, asaini kitabu cha maombolezo ubalozi wa kenya
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kikao cha 68 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo jijini New York Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kikao cha 68 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo jijini New York Marekani.
To read his full statement CLICK HERE
To read his full statement CLICK HERE
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Ban- Ki- Moon ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuhutubia kikao cha 68
cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani leo mchana.
Picha na Freddy Maro
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo kwenye ofisi za
ubalozi wa Kenya wa kudumu katika Umoja wa Mataifa jijini New York jana
kufuatia shambulizi la kigaidi katika sehemu ya biashara ya West Gate
jijini Nairobi Kenya hivi karibuni.Kulia ni Naibu Balozi wa Kenya wa
kudumu Umoja wa Mataifa(Deputy Permanent Representative) Mhe.Koki Muli
Grignon.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji wafanyakzi wa Ubalozi wa kudumu wa
Kenya katika Umoja wa Kimataifa muda mfupi baada kusaini kitabu cha
maombolezo katika ofisi za ubalozi huo jijini New York, Marekani leo
mchana kufuatia shambulizi la kigaidi jijini Nairobi ambapo watu kadhaa
walipoteza maisha. Picha na Freddy Maro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni